1/6
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 0
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 1
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 2
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 3
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 4
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 5
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) Icon

Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo)

Tanzania Tech Media
Trustable Ranking IconΈμπιστο
1K+Λήψεις
10MBΜέγεθος
Android Version Icon4.1.x+
Έκδοση Android
2.0(26-02-2021)Τελευταία έκδοση
-
(0 Αξιολογήσεις)
Age ratingPEGI-3
Πώς να κάνετε εγκατάσταση
1
Κατεβάστε και ανοίξτε το αρχείο εγκατάστασης
2
Unblock AptoideAptoide is a safe app! Just tap on More details and then on Install anyway.
3
Ολοκληρώστε την εγκατάσταση και ανοίξτε το Aptoide
app-card-icon
ΛεπτομέρειεςΑξιολογήσειςΕκδόσειςInfo
1/6

Περιγραφή του Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo)

Kupata habari imekuwa ni rahisi sana siku hizi, hii inatokana na kuwepo kwa vyanzo vingi vya habari kiasi kwamba ni lazima utaweza kupata habari kupitia vyanzo hivyo. Lakini wote tunajua ni ngumu sana kupata habari kwa ukamilifu kwa kuwa haiwezekani kutembelea tovuti zote hizo kwa pamoja ndio maana tunakuletea App ya Gazeti.


Gazeti ni App itakayokupa uwezo wa kusoma Magazeti ya leo pamoja na habari mbalimbali kwa urahisi kutoka tovuti mbalimbali bila Matangazo, Mbali na tovuti app ya Gazeti inakupa uwezo wa kusikiliza radio pamoja na idhaa za kiswahili kutoka nchi mbalimbali.


Gazeti App pia inakupa urahisi wa kuangalia TV mbalimbali za hapa nchini Tanzania na nje ya nchi, kifupi ni kwamba Gazeti App inakupa habari zote za Ndani ya Tanzania kwa haraka na kwa urahisi na bila kuwepo kwa Matangazo. Tunategemea kuongeza vyanzo vingine mbalimbali hivyo hakikisha unapakua app ya Gazeti sasa.


* Unaweza kusoma Habari Kutoka Tovuti kubwa za Habari Tanzania.

* Unaweza Kuangalia Mbalimbali Habari Kutoka Vyanzo vikubwa vya Habari Tanzania.

* Unaweza kusikiliza Radio na kuangalia TV za ndani na nje ya Tanzania.

* Na mengine mengi.....


Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) - Έκδοση 2.0

(26-02-2021)
Άλλες εκδόσεις
Τι νέο υπάρχειSehemu Mpya ya Habari Video * Global TV YouTube * Ayo TV YouTube * Wasafi Media YouTube * Bongo 5 YouTube * Azam TV YouTube * MCL Digital YouTube * ITV Tanzania YouTube * TBC Online YouTube * EATV YouTubeSehemu Mpya ya Social Media * Sehemu hii inakuja na vyanzo mbalimbali vya habari kutoka kwenye mitandao ya kijamii ya Facebook na InstagramMaboresho ya MuonekanoMaboresho ya Sehemu ya Michezo Tumeongeza AZAM TVSehemu Mpya ya Jinsi ya Kutumia

Δεν υπάρχουν ακόμα κριτικές ή βαθμολογίες! Για να αφήσεις την πρώτη,

-
0 Reviews
5
4
3
2
1
Info Trust Icon
Εγγυημένα Καλή ΕφαρμογήΗ εφαρμογή αυτή πέρασε τη δοκιμή ασφάλειας για ιούς, malware και άλλες κακόβουλες επιθέσεις και δεν περιέχει απειλές.

Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) - Πληροφορίες APK

Έκδοση APK: 2.0Πακέτο: com.gazeti.digitalwebbased
Συμβατότητα Android: 4.1.x+ (Jelly Bean)
Προγραμματιστής:Tanzania Tech MediaΠολιτική Απορρήτου:https://tanzaniatech.one/privacy-policy.htmlΔικαιώματα:28
Όνομα: Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo)Μέγεθος: 10 MBΛήψεις: 68Έκδοση : 2.0Ημερομηνία Κυκλοφορίας: 2021-02-26 13:33:53Ελάχιστη Οθόνη: SMALLΥποστηριζόμενα CPU:
Αναγνωριστικό Πακέτου: com.gazeti.digitalwebbasedΥπογραφή SHA1: 1F:F6:91:BF:92:D5:19:E3:56:43:01:04:4C:87:65:62:EA:58:DD:66Προγραμματιστής (CN): AndroidΟργανισμός (O): Google Inc.Τοποθεσία (L): Mountain ViewΧώρα (C): USΠολιτεία/Πόλη (ST): California

Τελευταία έκδοση του Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo)

2.0Trust Icon Versions
26/2/2021
68 λήψεις10 MB Μέγεθος

Άλλες εκδόσεις

1.6Trust Icon Versions
22/5/2020
68 λήψεις8.5 MB Μέγεθος
1.5Trust Icon Versions
11/5/2020
68 λήψεις8.5 MB Μέγεθος
1.4Trust Icon Versions
9/2/2020
68 λήψεις7.5 MB Μέγεθος

Εφαρμογές στην ίδια κατηγορία

Μπορεί επίσης να σου αρέσουν...